28 Oct 09, 15:25 Akim: I wonder weather you actually know how well this platform can be utilised to awaken,challande and even educate the youths of this Great Nation Kenya.I aploud your initiative and offer my free knowledg |
25 Aug 09, 11:42 laura: kazaneni vijana kutokomeza umasikini |
15 Aug 09, 11:32 Anonymous: jamani mbona kimyaaa na hatuoni mabadiliko yoyote kwenye blog yetu.........! |
15 Jul 09, 10:14 nitume: ni nzuri na inavutia mwanzo sio mbaya na manajitahidi hongeri sana |
26 May 09, 11:10 JK but not Jakaya: Ipo poa wazee, keep in touch ila tupeni habari mpk za kitaa za vijana |
18 Mar 09, 18:46 MISS: KAZI NZURI NA TUNAOMBA MAJUKWAA ZAIDI |
9 Feb 09, 13:16 Mpenda majukwaa: Jamani majukwaa mbona yako sehemu chache tunayaomba majukwaa sehemu nyingi zaidi! |
30 Jan 09, 12:55 Mpenda maendeleo01: Nimeipenda blog yenu imenivutia nachowaomba ni tuuu! Tuiboreshe iwe na habari za kuvutia ila mwanzo mzuri! |
27 Jan 09, 19:03 zxsw: exexe |